Swahili to English Translation
Good day to you. My name is Samwel
(Siku njema kwako. Jina langu ni Samweli)
I look forwards to be considered for this assignment. I have great command and understanding of both Swahili and English languages.
(Natumainia kuzingatiwa katika mradi huu. Ninao ujuzi na ufahamu mkubwa katika lugha yote mbili ya Kiswahili na ya Kiingereza.)
I've grown up in Kenya, and have been a resident here for over 25 years.
(Nimekulia Kenya, na nimekuwa mkazi hapa kwa zaidi ya miaka ishirini na tano.)
These two languages are the primary ones that we as Kenyans use in communication, be it in schools, home, or workplace.
(Lugha hizi mbili ndizo za msingi ambayo sisi wakenya huwasiliana nayo katika mashule, nyumabani ama kazini.)
This is why I believe I will be great for this translation role. Thank you.
(Hii ndio sababu ninaamini nitakuwa bora katika jukumu hili la kutasfiri. Ahsanti.)